Tuesday, July 24, 2012

0

Kujiajiri Ndo Mpango Mzima Kwa Sasa

Katika Pitapita yangu Katika Mtaa wa Soweto,Kaloleni Arusha!! Nlikutana na ShoeShine mmoja ambaye ameamua kujiongezea Kipato Kwa Kutengeneza Culture Sandals za Matairi na Kuziremba ili Kuvutia Wateja Wake.
#GONGA LIKE kwa Kujiajiri kwake.
#WE need People Of this Type, Lazma Vibaka Wapungue na MaJOBLESS

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ