''Kigoma AllStars-Leka Dutigite'' Nyimbo Yetu ya Wiki(Download Hapa)
Posted in Diamond Platnumz, Makomandoo, Queen Darlin, Zitto Kabwe
Wiki hii iliyomalizika kumekuwa na toleo Jipya ambalo limekimbiza sana katika radio mbalimbali nchini... Ni Nyimbo Ya Kigoma AllStars ambayo inaitwa LEKA DUTIGITE, ambayo imeshirikisha wasanii toka Kigoma kama Abdu kiba, Baba Levo, Banana Zorro, Chege, Diamond plantimuz, Linex, Makomando, Mwasiti, Ommy dimpoz, Queen
Darling, Rachel, Chini ya mbunge Zitto Zuberi Kabwe
Download Hapa LEKA DUTIGITE Free Download
Download Hapa LEKA DUTIGITE Free Download
0 Maoni/comments: