Guor Marial:Mshiriki wa Olympics Asiyewakilisha Taifa Lolote
Posted in Guor Marial, London Olympics 2012
Now this is a bit interesting..and sad in a way.
Guor Marial aliondoka Sudan some 11 years ago baada ya nchi kuingia kwenye vita,sasa ni mkazi wa Marekani(sio citizen)
Olympic committee wamempa ruhusa ya kushiriki mbio za marathon kama an independent person
Ni mzaliwa wa South Sudan(taifa lenye umri wa mwaka mmoja)
Kwa kuwa nchi yake haina Olympic organization wala hana passport yao then ameruhusiwa kushiriki kama mtu huru.
1.Atavaa uniform za Olympic zisiszo na charter ya nchi yoyote(USA,SUDAN au SOUTH SUDAN)
2.Akishinda nyimbo yake ya taifa itakayopigwa ni nyimbo ya mashindano ya Olympic badala ya nyimbo ya taifa
3.Amekataa offer ya kushiriki kama raia wa Sudan
4.Kasema baada ya ndugu zake 28 kuuliwa na majeshi ya Sudan,amewasamehe ila sio kuwaheshimu na kulikimbilia taifa lilioua ndugu zake.
That is Guor Marial.
Atabeba bendera ya Olympic kipindi cha mashindano.

0 Maoni/comments: