Brazil wameamua kupunguza vifungo vya gerezani...kwa kutumia Bicycle!

Brazil wameamua kupunguza kifungo cha gerezani kwa kutumia baiskeli,bicycle ambazo ni stationary zitakuwa zimeunganishwa kwenye battery kubwa ya kuzalisha umeme kwenye vijiji na mitaa!
So mfungwa atahesabiwa kifungo chake kwa muda na kiasi cha umeme atakao produce kwa kuchochea hizo baiskeli.
Me naona wangeleta hii Tanzania,hatuna umeme halafu wafungwa wanakula na kulala bure segerea.

0 Maoni/comments: