Thursday, June 7, 2012

0

Navio kuzindua video ya One and Only June 13

Posted in

Rapper Navio wa Uganda atazindua video ya wimbo wake mpya One and Only aliouchia wiki hii kwenye ukumbi wa Cineplex – Oasis Mall jijini Kampala June 13 mwaka huu.
Katika uzinduzi huo kutaoneshwa pia clip za behind the scenes za video ya One & Only pamoja na DVD ya Live Concert zake.
Navio aliifanya video hiyo mjini Durban, South Africa inayodaiwa kutumia gharama kubwa kuliko video zote zilizowahi kufanywa na msanii wa Afrika Mashariki.
Kufuatia uzinduzi huo tiketi 150 pekee ndizo zinauzwa.

source: bongo5.com

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ