Thursday, May 17, 2012

0

Nyota Iliyozima ''MAFISANGO''

Posted in
Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ (kulia),  akiwa wamekaa kwa huzuni na  wenzake.

Gari aina ya Toyota Cresta lenye namba za usajili T 387 BMZ alilokuwa akiendesha Mafisango.
Haruna Moshi 'Boban' akiwa na simanzi baada ya kifo cha mwenzake.
Emmanuel Okwi (kulia) nae alifika Muhimbili baada ya tukio hilo.
Uhuru Seleman wa Simba akilia kwa huzuni baada ya kufika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 
Kiungo wa Yanga na mchezaji wa timu ya taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima akiwa na majonzi kwa kifo cha mwenzake anayetokea Rwanda pia.
Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa (kushoto) pamoja na Uhuru Seleman wakimlilia mchezaji mwenzao.Waombolezaji  ambao ni mashabiki zake wakilia kwa uchungu.
Kifo cha kiungo mkabaji wa timu ya Simba, Patrick Mafisango,  kilichotokea leo alfajiri maeneo ya Veta-Chang’ombe  jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali ya gari,  kimewahuzunisha watu  wengi ambao  walikusanyika nyumbani kwa mchezaji mwenzake, Emannuel Okwi, maeneo ya Bora-Keko ambako taratibu za msiba zinafanyika huku wakilia kama watoto

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ