Thursday, May 24, 2012

0

Kaseja CAPTAIN mpya Taifa Stars!

Posted in

Benchi la ufundi la timu ya Taifa 'Taifa Stars'  limemteua Juma Kaseja kuwa nahodha wa timu hiyo.
Kaseja ambaye ni kipa wa timu bingwa ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba,  atarithi mikoba ya aliyekuwa nahodha wa Stars Shadrack Nsajigwa 'Fuso' ambaye amestaafu kuichezea timu hiyo na kuamua kubaki kuichezea timu yake ya Yanga.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ