May
2012
24
Diamond kupiga Live Show Big Brother Jumapili Hii
Posted in Big Brother Africa Star Game, Diamond PlatnumzMsanii huyo anayetamba kuwa nominee wa MTV African Music Awards na tuzo kibao za Kilimanjaro Music Awards, ameondoka nchini leo kuelekea pande za madiba tayari kuwapa moto wa Diamond Platnumz Baby!
Source: bongo5.com
0 Maoni/comments: