Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Madee. Show all posts
Thursday, January 16, 2014
Tuesday, September 3, 2013
MADEE BAADA YA KUMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE: SASA KUTOKA NA "TEMA MATE TUWACHAPE"
Posted in Madee, Tip Top ConnectionMonday, August 12, 2013
KUHUSIANA NA KUSACHIWA MADAWA YA KULEVYA: JE NA WASANII WA BONGO MO0VIE KUKUMBWA NA AIBU HIYO??
Posted in A.Y, Agness Masogange, Madee

KWELI Waswahili usema kua uyaone, awali nilifikiri mjini ni maghorofa kumbe ni zaidi ya hayo maghorofa, hivi karibuni kumekuwa na sintofahamu kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya yaani Bongo fleva kupekuliwa Airport, wasanii wa muziki huu kwa sasa si marafiki wa viwanja vya Ndege swali linakuja je wasanii wa filamu nao watapata jeraha hilo?
Kufuatia kashifa ya uvushwaji wa madawa ya kulevya inayolisakama Taifa la Tanzania wasanii wa muziki wa Bongo fleva wamekuwa waathirika wakubwa katika viwanja vya Ndege kwani inapofikiwa wakati wa kupekuliwa wanapekuliwa kweli kweli hadi wengine wanakasirika na kuhisi kama wanadharirishwa kwa kufanyiwa hivyo.
Wabongofleva ambao moja kwa moja wameonja adha ya kuhisi wanaweza kuwa na Ngada katika mabegi yao ni pamoja na Ambwene Yesaya AY ambaye alikutana na mkasa huo akiwa uwanja wa ndege na kutumia muda mwingi katika kupekuliwa hadi pale waliporidhika na kuona hana hatia na kuruhusiwa kuendelea na safari yake baada ya kujiridhisha.Naye Raisi wa Manzese Hamad Ali aka Madee alikutana na kimbembe pale alipotua nchini Afrika ya kusini akiwa sambamba na Mzimbabwe wao pekee ndio waliowekwa kiti moto kwa kupekuliwa zaidi ya saa moja kwa kuvuliwa hadi nguo za nyepesi za ndani na mabegi yao kwa kumwaga nguo zote na baadae kuombwa radhi kwa muda wao na kupekuliwa sana.
Sasa watu wanajiuliza kuwa je hali hiyo kwa upande wa wasanii wa Bongo Movie nao wanaweza kukutwa na adha hiyo ? ya kupekuliwa hadi kutumia zaidi ya muda mrefu hata kudharirishwa kwa kukaribia kuvuliwa kufuli, hakuna anayejua kuhusu hilo kwani wengi wanaamini kuwa inawezekana kwa sababu wanasafiri sana tofauti na waigizaji maswali ni mengi.
Pengine historia nayo inachangia hadi leo kwa wasanii wa filamu hakuna taarifa sahihi kuhusu kashifa ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa waigizaji jambo ambalo limekuwa likiripotiwa kila siku kwa wasanii wa Bongo fleva pamoja na watu wao wa karibu kama wapenzi wao na Video queen ambao tayari wamekamatwa na madawa ya kulevya.
Sakata lilianzia pale Watanzania wawili wasichana waliokamatwa kwenye kiwanja cha ndege Johannesburg wakiwa na dawa za kulevya wakitokea Tanzania,
Wednesday, July 31, 2013
KUHUSU MADAWA YA KULEVYA: MADEE NAYE YAMKUTA HUKO SOUTH AFRICA
Posted in Madee
Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita ambapo hii imetokea kutokana na ukubwa wa habari, uzito wa tukio la wale Watanzania wawili wasichana waliokamatwa kwenye kiwanja cha ndege Johannesburg wakiwa na dawa za kulevya wakitokea Tanzania.
Madee anakwambia alipotua kwenye kiwanja cha ndege, kawaida huwa kuna utaratibu wa kuchekiwa hati ya kusafiria na ukaguzi mwingine ambao hufanywa na mitambo maalum kwa kila abiria anaeingia Afrika kusini, ni ukaguzi ambao unafanywa Airport kabla ya abiria kuruhusiwa kuingia kwenye nchi yenyewe.
Kilichomfanya Madee kusachiwa na kuhojiwa karibu dakika 60 ni pale tu aliposema anatokea Tanzania, kuna wazungu wawili wenye sare tofauti za kipolisi wakaanza kumsachi mpaka kufikia kumwambia avue t shirt yake, alivua t shirt na kubakiwa na nguo nyepesi ya ndani wakati huo abiria wenzake aliokwenda nao walikua wameruhusiwa.
Kati ya abiria wote waliokuja pamoja kwenye ndege, Madee na Mzimbabwe mmoja ndio walikaguliwa sana ila huyo mwingine alikaguliwa kidogo tu kama dakika 10 na wala hakuambiwa avue nguo.
Sehemu yenyewe Madee aliyoambiwa avue nguo sio kwenye chumba maalum, ni palepale kwenye foleni wanaposimama watu ila kwa pembeni kidogo, ni sehemu ambayo imezibwa na kioo kinacholingana na usawa wa tumbo kushuka chini…. Madee anakwambia jamaa walinong’onezana sana wakati wanamkagua.
Hata hivyo baada ya Askari hao kumuweka sana msanii huyu wa bongofleva kutoka kundi la TipTop Connection walimuomba radhi baada ya kumaliza ukaguzi wao ambao pia ulihusika kulivuruga sana begi lake.

source: MillardAyo.com
Friday, October 26, 2012
RAISI WA MANZESE AJITOA TIP-TOP????
Posted in Madee, Tip Top Connection
Chanzo chetu cha habari kilichozungumza na DarTalk, kwa sharti la kutotajwa kwa jina lake kilidai kuwa wiki iliyopita msanii huyo alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni.
Chanzo hicho kilichopo karibu na wasanii hao hakikusita kueleza kuwa ndani ya kundi hilo kuna matatizo mengi, kwani hata kuondoka kwa baadhi ya wasanii waliokuwa hapo sababu hizo ndiyo zimemfanya Rais huyo manzese kujiengua, ingawa bado kuna mvutano mkubwa unaoendelea ili kumrudisha kundini jamaa huyo bila taarifa za mkwaruzano huo kutoka nje.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
Cassim Mganga Ft Akili The Brean - Majeraha ( Official Video )
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
Above 18 only! PICHA YA UCHI Aliyopiga NICKI MINAJ
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
-
HILI NDO GARI JIPYA LA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA!
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.









