Ifanye Biashara Yako Iwe Inajulikana, Na Upate Wateja Wengi.
Kwa Vifaa Vyote Vya Michezo, Jijini Arusha, Wako Opposite Msikiti Mkubwa, Karibu na CCM Mkoa Wapo Pia Moshi na Babati, Tembelea Sasa
Pata Products Za Forever Living Kwa Afya Yako, Bila Kusahau Vipodozi. Piga 0755-029901.
Kwa Huduma Za KIMAPISHI, Katika Events Mbalimbali, Harusi, MISIBA, Barikio, Send Off nk.
Photo Editing, Graffiti Editions, Pia Kufanya Retouching. Kutengeneza Posters(MABANGO)
Next
Previous
Showing posts with label Def Xtro. Show all posts
Wednesday, September 11, 2013
Thursday, August 29, 2013
NYIMBO MPYA: G NAKO FT. HENRY - WARA WARA NA MPIRA
Posted in Chizan Brain, Def Xtro, G Nako, Henry, Noizmekah Records
Ngoma inaitwa WaraWara na Mpira (Mr Lover),
wimbo mpya wa G-nako akiwa amemshirikisha Henry,toka Wakwetu Jazz Vibe,
Kazi ikiwa ni pishi la studio mbili, Noizmekah Arusha kwa Defxtro
pamoja na B records kwa Chizan Brain,
download HAPA ,kwa mawasiliano/Mahojiano/Bookings check na Gnako kupitia +255 715 593 041 powered by www.vmgarica.com-----------
G-nako ft Henry-WaraWara na Mpira http://goo.gl/6hTwFy
Wednesday, August 28, 2013
NYIMBO MPYA: BEN POL - TWAENDANA (snippet)
Posted in Ben Pol, Def Xtro
The king of RnB hapa Tanzania and the winner of best vocal kili awarads 2013 “Ben Pol” ameitambulisha nyimbo yake inayotarajiwa kutoka siku za karibuni chini ya producer Defxtro.
Jina la wimbo ni “twaendana” na imefanyika pande za Arusha ndani ya studio za noizmekah. Unaweza sikiliza kionjo cha twapendana hapo chini.
Jina la wimbo ni “twaendana” na imefanyika pande za Arusha ndani ya studio za noizmekah. Unaweza sikiliza kionjo cha twapendana hapo chini.
Wednesday, August 21, 2013
Tuesday, June 25, 2013
Saturday, August 25, 2012
NEW TRACK: Anapita-A Call
Posted in Anapita, Def Xtro
''Anapita aja na Reggae "A call",ikiwa ni brand new track toka pande za noizmekah.com juu ya riddim la kijamaica "heart & soul riddim",Nimeimba kuhusu kufata ndoto zetu katika maisha,Kuondokana na dhana potofu kuwa maisha yana formula flani.Shule ni muhimu sana katika kuturahisishia maamuzi maishani,Pasipo uelewa na maarifa,Maisha huonekana magumu zaidi,Matumizi ya vilevi kupita kipimo ama hata kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya yote ni matokeo ya kupuuza malengo endelevu na kufata mikumbo.A call ni inspirational reggae song ambayo kwa haraka ni rahisi kuiweka katika category ya Gospel ambayo ni sawa pia,kwani kazi yangu kama artist, especially wa kike kuelimisha vijana wenzangu.Enjoy and support Tanzanian Music''--DEF XTRO
Tuesday, August 21, 2012
Baadhi Ya Picha za Tamasha La Eid: SummerJam Arusha
Posted in Def Xtro, Mambo Jambo Summer Jam, Noizmekah Records
Tamasha lililoandaliwa na Mambo Jambo Radio: Mambo Jambo Summer Jam, Lilifana, na Hizi ni Baadhi Ya Picha.
'' Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilofanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ilokuwa siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na Mambo Jambo'' --------Def Xtro
'' Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilofanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ilokuwa siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na Mambo Jambo'' --------Def Xtro
Subscribe to:
Posts (Atom)
Msimamo Ligi Kuu TZ
Popular Posts
-
DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''
-
Papaa Mafido - My Story (Official Video)
-
Download new Track '' AMEN '' By mWana FA ft. Dully and A.Y
-
VIDEO 18+ : SHOWER SCENES FROM THE BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE"
-
Cassim Mganga Ft Akili The Brean - Majeraha ( Official Video )
-
NEW TRACK: BOB JUNIOR-KICHUNA (FREE DOWNLOAD)
-
'True Blood' Season 5: Tina Majorino's Cast as Another Vampire, Tara's Back
-
Above 18 only! PICHA YA UCHI Aliyopiga NICKI MINAJ
-
Justin Bieber Reveals North American Tour Dates to Promote 'Believe'
-
HILI NDO GARI JIPYA LA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA!
FOLLOW US
NEW BONGO MUSIC
A.B '93 MOBILE APP
Powered by Conduit Mobile
EXTRA BONGO MUSIC
My Top Blogs
LETS CHAT
HABARI ZA BURUDANI ULAYA
Soccer Latest Scores
FOLLOW US NB
KIBONGO ZAIDI
Blog Archive
Arnold Balati 2012. Powered by Blogger.











