Next
Previous
Showing posts with label Ben Pol. Show all posts

Wednesday, August 28, 2013

0

NYIMBO MPYA: BEN POL - TWAENDANA (snippet)

Posted in ,
The king of RnB hapa Tanzania and the winner of best vocal kili awarads 2013 “Ben Pol” ameitambulisha nyimbo yake inayotarajiwa kutoka siku za karibuni chini ya producer Defxtro.

Jina la wimbo ni “twaendana” na imefanyika pande za Arusha ndani ya studio za noizmekah. Unaweza sikiliza kionjo cha twapendana hapo chini.

Tuesday, August 13, 2013

0

THE SESSION: PATA KUJUA MENGI KUHUSU PRODUCER LUCCI WA TRANSFORMAX STUDIOS

Posted in , , , ,

Thursday, July 11, 2013

0

TRACK MPYA TOKA KWA WAKALI WA RNB BONGO: Sajna Ft BenPol & C sir Madini

Posted in , ,
SAJ BEN SISA

Friday, July 5, 2013

0

NEW MUSIC VIDEO: Steve Kafire feat. Ben Pol - Everytime [Official Video]

Posted in ,

Tuesday, June 25, 2013

0

G NAKO FT. BEN POL - WARA NA MPIRA (snippet)

Posted in , , ,





Hiki ni Kionjo, Kaa na ufatilie blog yetu kwa ajili ya toleo Rasmi.

Friday, May 31, 2013

0

VIDEO YA BEN POL KUTOKA WIKI IJAYO BAADA YA MAAZISHI YA NGWAIR

Posted in , ,

Hii ni meseji aliyotuma Ben Pol kwa Director Nisher


Thursday, May 9, 2013

0

NGWAIR KUFANYA TRACK NA MKALI BEN POL | SOMA TWEETS ZAO KUHUSINA NA COLLABO HILI

Posted in ,



King wa CHORUS Na RnB in TANZANIA kwa sasa, BEN POL yupo katika matengenezo ya ngoma nyingine na mwanamuziki mwenzie ... NGWAIR a.k.a COWIZZY ...
Ngoma hiyo ambayo according to their conversations ni kuwa anaesubiriwa kwa sasa ili imalizike ni NGWAIR tu ...
Check maongezi haya katika YA BEN POL na NGWAIR ...

Wednesday, May 8, 2013

0

MASHAIRI YA NYIMBO "JIKUBALI-BEN POL"

Posted in
Ni mashairi ya ngoma kali ya msanii BEN POL inayojulikana kama JIKUBALI ... Check hapa chini :


Verse1;
Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star
Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako
Usiache jambo Kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it's your time,
Huwezi kuwa chini you've got somethin' special
Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a Boss, you can be a Lawyer
You can be the President
You'll be successful
Chorus ;
Wakati wako ndio leo (leo)
Kutimiza malengo yako,
Nakusihi Anza sasa (sasa)
Jishughulishe utapata (rudia mara mbili)

Thursday, May 2, 2013

0

VIDEO YA NYIMBO MPYA YA BEN POL-JIKUBALI KUTOKA HIVI KARIBUNI | ASEMA DIRECTOR NISHER

Posted in , ,
Video ya mkali huyo wa RnB Bongo inatarajiwa kutoka mda wowote kuanzia sasa. Video itafanywa na director Nisher kutoka Arusha ambaye keshafanya kazi nyingi hadi sasa...
STAY TUNED..

Wednesday, May 1, 2013

0

DOWNLOAD AND LISTEN | BEN POL-JIKUBALI

Posted in

Monday, April 29, 2013

0

BEN POL KUFANYA UZINDUZI KESHO -USIKOSE KESHO @AMBASSADORS LOUNGE

Posted in


Music is all about INSPIRATION. Some songs have made changes to our lives. The Script- Hall of Fame has changed me. #JIKUBALI I share na wewe pale Ambassadors Lounge kesho mida ya saa nne, only 10,000 come and support good music and be Inspired. -Ben Pol

Wednesday, April 17, 2013

0

A SONG TO LISTEN: JCB & CHABBA FT. BEN POL - I DONT CARE

Posted in , ,

Thursday, April 4, 2013

0

BAADA YA KUWASANUKIA CLOUDS TWITTER, JAY DEE AZINGUANA TENA NA BEN POL.

Posted in ,
So much is happening on Twitter these days. Wengi mnafahamu anachokiandika Lady Jaydee siku za hivi karibuni na sasa kibao kimemuendea Linah na Ben Pol.
jide na ben
Lady Jaydee anadai wasanii wa THT wamemsaliti kwa kile anachodai walikatazwa kwenda kuperform Nyumbani Lounge licha ya kuwalipa advance.
“Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia,” ametweet Jide.

Friday, March 29, 2013

0

PICHANI: NISHER NA BEN POL IN THE MAKING OF MAMA YEYO VIDEO

Posted in , , ,


Its a photo inayomuonesha Ben Pol akiwa na Director Nisher wakifanya video ya MAMA YEYOO...
Gnako, Ben Pol na Nisher wako Arusha ku-shoot video ya ngoma hiyo...

Sunday, March 17, 2013

0

Kala Jeremiah ft. Ben Pol - Karibu Dar {Official Video}

Posted in ,

Tuesday, March 12, 2013

0

BEN POL KUACHIA ALBUM HIVI KARIBUNI

Posted in


Mwanamuziki wa miondoko ya RnB, Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ambae bado anafanya vizuri kwenye hii tasnia ya muziki wa hapa nyumbani, anategemea kuachia album yake hivi karibuni.
Ben Pol ambae anatamba sana na wimbo wake wa PETE, sasa yuko mbioni kuachia Album yake hiyo ambayo itakwenda kwa jina la ''Ben Pol Love CD'' mwishoni mwa mwezi huu.
Ben kwa sasa yupo katika hatua ya mwisho ya kuikamilisha album hiyo ambayo itakuwa na mchanganyiko wa nyimbo za zamani na mpya ambazo bado hazijasikika kabisa.

Sunday, March 10, 2013

0

BEN POL NA RAMA DEE WALALAMIKA KUIBIWA KAZI ZAO

Posted in ,


Wasanii wa kizazi kipya [Bongo Flava] bado wamekuwa wakilalamika kuibiwa mapato kama sio kazi zao bila ruhusa zao.
Mapato hayo ambayo yako katika mfumo wa miito ya simu, yaani caller tunes wameonekana kutokushiriki kwenye mauzo haya na wengine wameonekana kulalamika moja kwa moja kupitia mitandao ya jamii.
Earlier today, msanii anaefanya vizuri sasa na ngoma zake tofauti, akifanya muziki wa RnB, Rama Dee ameandika katika ukurasa wake wa twitter akilalamikia wimbo wake kuuzwa bila ridhaa yake.
Hii inaonesha kutokuwemo kwa makubaliano ya kuuzwa kwa KUWA NA SUBIRA.
Msanii mwingine alieonekana kuwa na matatizo kama haya Ben Pol, msanii mkali wa RnB kutoka Bongo akiwa na credit nyingi kutokanana na kazi zake nzuri.
Ben pia ameonekana leo kulalamikia suala hili hili akionekana kuhuzunika na kuwa na hasira juu ya hili,
Nafikiri hili ni tatizo linalowasumbua wasanii wengi ingawa hawa ni wachache waliolalamika leo, as fans we wanna see these guys win na kutengenza pesa zao kwa jasho wanalolitoa kwa kazi zao.
So far, suala la caller tunes limekuwa na cnflicts na wasanii wengi huku wengi wao wakidai kuwemo lakini bila ya kupata mapene yoyote au kutopata kabisa kutoka huko kwenye makampuni haya.

Sunday, December 23, 2012

0

NEW TRACK: LORD EYEZ-NO MORE DRAMA FT. BEN POL(BABA LA BABA)

Posted in , ,
 


Baba La Baba, Ni Track mpya toka kwa King Easy. The Long awaited track toka kwa Mweusi Lord Eyes akiwa amemshirikisha Ben Pol.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ