Aug
2013
28
MSANII TOKA B'HITZ "DEDDY" KUTOKA NA NGOMA MPYA HIVI KARIBUN
Posted in B'Hitz Music Group, Deddy
Deddy ni miongoni mwa wasanii waliopo katika label ya B-Hitz chini ya producer Hammy B, kwa sasa msanii huyo amefanya track kibao.
Style anayotumia Deddy ni ya Dance hall pamoja na Reggae, soon as possible anategemea kuachia ngoma yake ya kwanza (jina kapuni) hivyo fans kaa mkao wa kuipokea kazi za Deddy.
0 Maoni/comments: