Jul
2013
03
NEW VIDEO: MR. NICE - CHALII WA KIBERA
Posted in DNA, Grandpa Studios, Mr. Nice
Baada ya kutamba na ngoma ya Tafuta ambayo amefanya na msanii kutoka Kenya, DNA … Sasa msanii Mr. Nice ameamua kuachia video ya ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la “CHALII WA KIBERA”.
Chalii wa Kibera ni ngoma ambayo imefanywa ndani ya studio ya Grandpa, Audio pamoja na Video… Studio ya GrandPa maskani yake kubwa ni nchini Kenya na ndio inayosimamia kazi za kimuziki za msanii Mr. Nice …
0 Maoni/comments: