Jul
2013
03
MZIGO MPYA TOKA KWA GELLY WA RHYMES (LOVELY) - COMING SOON
Posted in Gelly Wa Rhymes
Ni video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “LOVELY” ambayo msanii Gelly Wa Rhymes anatarajia kuiachia hivi karibuni …
Utayarishaji wa video hiyo ni umefanywa na kampuni ya E Media chini ya Director Nick Dizzo. Pia kipindi cha nyuma, Gelly alishatamba na baadhi ya ngoma zake kama Kikuku, Mwizi, Binti Yenu, I Love You na nyinginezo …
Stay Tuned !!
0 Maoni/comments: