Saturday, June 22, 2013

0

UNAMKUMBUKA JONI WOKA?? | HIVI NDIVYO ALIVYO HIVI SASA

Posted in ,
MSANII Huyu aliekonga nafsi za wengi na kujizolea Furushi la mashabiki kwa kuimba staili ya kulewalewa Anatambulika kwa Jina la ''JONI WOKA'' Sasa aamua kunyoa Rasta na kubalidili muonekano, Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi wa http://masainyotambofu.blogspot.com aliulizwa kuhusu mziki akasema Yupo kwenye maandalizi makubwa na kwa leo hawezi kusema chochote kuhusu mziki. 


0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ