May
2013
14
WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI MANZESE WARIPOTIWA KUANGUKA OVYO

HABARI ZILIZOTUFIKIA PUNDE
Wanafunzi zaidi ya 30 wa shule ya Sekondari manzese muda huu wanaanguka hovyo huku wakijibamiza katika miti na kusema maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna ni nguvu za giza zimetanda shuleni hapo.
Hadi sasa chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kuwa nini.

SOURCE: ITV
0 Maoni/comments: