Monday, May 13, 2013

0

NEW TRACK | MB DOGG - MA DIGINA

Posted in


Baada ya ukimya mrefu kwenye tasnia ya muziki, mwanamuziki MB Dogg amerejea kwenye Music Industry kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "MA DIGINA"...
Hapo awali, MB Dogg alifanya vizuri sana kupitia ngoma zake kama Latifa, Si Uliniambia, Natamani, Mapenzi Kitu Gani, Ina Maana, Saga Plasha na nyinginezo ambazo zilimfanya jina lake liendelee kuwa juu sana ...
Listen the track hapa chini ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ