Monday, December 31, 2012

0

KANYE CONFIRMS: KIM KARDASHIAN ANA MIMBA

Posted in , , , ,

Rapper Kanye West jana jumapili amethibitisha kwamba mpenzi wake girlfriend wake ambae ni Tv Star Kim Kardashian ni mjamzito.
Alipokua kwenye stage, Kanye aliiambia timu yake isimamishe kupiga mziki ambapo baada ya hapo akasema make some noise kwa my baby mama.
Uthibitisho wa ukweli wa hizo taarifa uliendelea kupatikana baada ya mama mzazi wa Kim Kardashian, dada zake na mdogo wake wa kiume kutumia page zao za twitter kuonyesha furaha zao kuhusu ujauzito wa Kim Kardashian.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ