HUYU NDO MWANAMKE ALIYEZAA WATOTO NA KUWAITA ''BARACK NA MITT ROMNEY''
Posted in Barack Obama, Mitt Romney, Owuor
Mwanamke mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney.
Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya.
Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani.

0 Maoni/comments: