Thursday, September 6, 2012

0

VIATU AINA YA ''SLIP-ONS'' VIMEKUWA VIKITUMIKA SANA KATIKA NY-FASHION WEEK

Posted in ,

Je Wajua Viatu aina ya ''Slip-Ons''????
Ni viatu vinavyovalika sana na Wanaume kwa sasa, Vikiwa na Mvuto wa Pekee na Soli ya Chini huku vikiwa havina Kamba kabisa. Vimekuwa na mfananio na Viatu aina ya LOAFERS.
Vintage Shoe Company's exclusive slip-on shoes, which matched the dusty-hued collection with beat-up brown and black leathers, plus soft (both in color and texture) suede desert-rock reds and blue-greys. Still early in the season here at New York Fashion Week — today is, officially, the first day — but, so far, a whole lotta shoes without laces.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ