NEW TRACK & LYRICS: AY ft. FID Q - JIPE SHAVU
Posted in A.Y, Fid Q, Q The Don
Ni ngoma mpya kutoka kwa mwanamuziki AY ambae anazidi kufanya vizuri katika muziki ... Hapa ame-drop JIPE SHAVU ...
Katika ngoma hii, AY amemshirikisha rapper kutoka Mwanza maarufu kama FID Q, ikiwa imetengenezwa katika studio za MPO AFRICA huku mdundo ukiwa umesukwa na producer Q Tha Don ...
Kuwa wa kwanza kusikiliza na download JIPE SHAVU hapa chini :
LYRICS
Verse 1:
Nachana style zaidi ya kumi bado kiwango same/
Kwenye speaker unamsikia mastermind wa hii game/
Toka BC game,mpaka AC game/
Wanajaribu hata kugeza hawana Edu-Tain/
Nasmile,wanavyoscream M BACK AGAIN/