Next
Previous
Showing posts with label PHD Hemedy. Show all posts

Tuesday, May 14, 2013

0

CHEKI JINSI HEMEDY PHD ALIVYOKUA AKARIBIE KUPOKEA KICHAPO KATIKA SHOW YAKE

Posted in


Mwanamuziki maarufu anaefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki Tanzania, Hemedy PHD ambae weekend iliyopita alikuwa akizindua single yake mpya aliyomshirikisha Blue Bayser inayokwenda kwa jina la Rest Of My Life ndani ya ukumbi wa disco wa Club Billcanas ...
Mpya kutoka kwa msanii huyu ni kuwa baada ya kufanya show PHD alijikuta nusu achezee kichapo kutoka kwa mwanadada ambae alikuwa anacomplain kwa kitendo cha mwanamuziki huyo kumpulizia perfume bila ridhaa yake ...
Cheki kipande cha video kinachomuonesha hemedy akifanya show yake pamoja na kipande cha video kinachimuonesha akichezea kichapo hicho ...

Friday, May 3, 2013

0

HEMEDY FT. MR. BLUE - REST OF MY LIFE

Posted in ,

PHD ameachia ngoma nyingine ... Hemedy ambae mara ya mwisho he dropped GOING CRAZY iliyofanywa na producer PANCHO LATINO kutoka B'HITZ MUSIC GROUP ...
Hemedy ametupa jiwe jingine ... REST OF MY LIFE ambalo in here amemshirikisha "swagg boy" Mr. Blue ...
Sikiliza na unaweza download REST OF MY LIFE hapa chini :
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ