Next
Previous
Showing posts with label Josline. Show all posts

Friday, May 3, 2013

0

NEW TRACK: JOSLIN - ITIKA

Posted in
Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu, Joslin ameamua kurudi tena na ujio mwingine mpya na kuachia ngoma nyingine ...
Joslin ambae kipindi cha nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Perfume, Niite Basi, Nisikilize na nyinginezo akiwa na kundi lake la Wakali Kwanza ameachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la "ITIKA" ambayo imetengenezwa na Producer Tiddy Hotter kutoka Studio ya One Love ...
Sikiliza na Download ngoma hii hapa chini ...

Monday, April 29, 2013

0

WAKALI KWANZA WAMERUDI NA TRACK MPYA | NEW MUSIC (NITARUDI)

Posted in , ,
Hii ni track mpya kutoka katika kundi la Wakali Kwanza, this time wanakuja na ngoma yao mpya inayojulikana kama NITARUDI ...
NITARUDI ni mpya kutoka kwa WAKALI KWANZA, kundi ambalo limekuwa kimya kwa kipindi kirefu sasa huku hapo nyuma lilijizolea umaarufu sana kupitia baadhi ya track zake kama Nifanye Nikupate, Natamani na nyinginezo ...
"NITARUDI" ni track ambayo imetengenezwa ndani ya Studio ya Mazuu Records chini ya Producer Mazuu. 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ