Next
Previous
Showing posts with label Jackline Ntuyabaliwe. Show all posts

Saturday, July 13, 2013

0

PICHA: JACKLINE NTUYABALIWE (K'LYINN) AKIWA NA WANAWE PAMOJA NA MMEWE REGINALD MENGI

Posted in , ,
.
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii post akiwa sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na Baba yao mzazi.

Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.
K LYN 3
K LYN 2



Friday, May 31, 2013

0

REGINALD MENGI NDIYE BABA WA MAPACHA WANGU - ASEMA MISS TANZANIA 2000, JACKLINE NTUYABALIWE

Posted in ,
clip_image002

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ