Next
Previous
Showing posts with label Fashion Collections. Show all posts

Friday, July 12, 2013

0

HAYA NDO MAVAZI YANAYOPENDELEWA ZAIDI NA VIJANA WA KISASA

Posted in , ,

KWA PAMOJA HAYA MAVAZI YAMEKUWA YAKIPENDELEWA ZAIDI NA VIJANA WA SIKUHIZI... Kizazi hiki cha 21st Generation, Ambapo mavazi haya yamekua yakiangaliwa kwa muonekano tofauti. 
Cha muhimu na cha maana kwa vijana wenzangu ni kujua ni mda gani unavaa hivi au vile kwa wakati gani na kwa mda gani gani. Kwa wakiume tujihadhari sana na mavazi ambayo yanatuchora na kuweza kukufanya uitwe majina ya ajabu, Be smart, USIIGE.
#FASHION_POLICE






Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ