Next
Previous
Showing posts with label Adam Juma. Show all posts

Wednesday, June 19, 2013

0

PHOTOS: BEHIND THE SCENE VIDEO MPYA YA NURU | NSUBIRI USILALE |

Posted in , ,


Nuru akiwa na Director Adam Juma

Thursday, June 6, 2013

0

WANACHOKIFANYA WAJANJA KWA KUGEUZA MSIBA WA NGWEA DILI

Posted in ,
tSHIRT MAALUM
WAKATI wapenzi wa Bongo Fleva wakiwa kwenye majonzi kufuatia kifo cha msanii Albert Mangwea ‘Ngwea’ kilichotokea Mei 28, mwaka huu, kumeibuka kundi la watu wanaotumia mwanya huo kuvuna fedha kwa kutengeneza fulana zenye picha ya marehemu.
Akizungumzia juu ya wajanja hao akiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar juzikati, msemaji wa kamati ya mazishi, Adam Juma alisema amechukizwa na kundi hilo la watu linalouza fulana hizo kwa masilahi yao binafsi.
 “Tutawachukulia hatua wote watakaobainika kuprinti t-shirt bila kuleta fedha kwenye msiba. Ni kinyume cha taratibu, sisi tuliandaa t- shirt maalum kwa utaratibu maalum wa kuisaidia familia na si vinginevyo,” alisema Juma.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ