HUYU NDO MZUNGU ALIYEOMBA KUFUNDISHWA KUKATA MAUNO NA SNURA
Posted in Snura
Raia wa kigeni kutoka germany
aliejulikana kwa jina moja tu la Joan amesema tangu afike tanzania
mienzi mitatu sasa amejikuta akivutiwa sana na kazi za snura hasa katika
swala zima la jinsi anavyolitawala jukwaa kwa style yake ya viuno
vilivyoovurugwa amesema Ataakikisha anaondoka na snura mpaka nchini kwao
kwa ajili yakwenda kufundishwa viuno tu.
Joan akiwa na snura na madansa wa snura #team majanga
Snura kulia Joan na hk manager wa snura.
Haya sasa kama wazungu wanaelewa we mswahili unagoja nini acha kukunja fungua tulisongesheeeee
0 Maoni/comments: