Sunday, December 8, 2013

0

VIDEO: JINSI FAMILIA YA FAST & FURIOUS WALIVYOMUAGA PAUL WALKER

Posted in
Familia Ya Fast & Furious yadhihirisha kubaki na majonzi mengi kutokana na kifo cha Paul Walker, mmoja kati ya “Stars” kwenye mfululizo wa filamu hizi za Fast & Furious
Vin Diesel, aliyekuwa rafiki wa karibu sana na Paul Walker, ameandaa “clip video” ambayo inagusa mioyo ya watu wengi kutokana na upendo uliokuwepo kwenye familia hiyo pamoja na mashabiki kwa ujumla kwa kutazamwa mara 21,361,616 tangu iwekwe Disemba 4. Itazame hapa;

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ