Thursday, December 19, 2013

0

RAPPER JAY-Z AZINDUA RASMMI COMADOR(COHIBA CIGARS)

Posted in , ,
Rapper anayeshikilia namba mbili kwa utajiri duniani … Sean Carter (Jay Z), anazidi kupanua wigo wake katika maswala ya biashara baada ya kuzindua sigara za kistarehe aina ya  Comador Cigars.  Comador Cigars  zitakuwa zikiuzwa dollar 210 kwa pakti moja zikiwa saba na dollar 350 zikiwa kwenye special case ya kuhifadhia Cigars.
Comador-Single-Cigar-2 (1)
Cigars hizo zilizo zinduliwa na rapper huyo zimepewa jina la  Comador Cigars  zimetengenezwa na wataalamu wa Cohiba kutoka visiwa vya Dominican Republic, ambapo Tobacco ya  Cigars hizo hulimwa katika shamba binafsi lililopo  Farmington na kusafirishwa kuelekea Dominican Republic kwa ajili ya processing ya miaka 4, pia brand hiyo ya  Comador Cigars wamezindua Official Twitter account na Facebook page.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ