MSANII YOUNG JEEZY ABADILI JINA
Posted in Jeezy, Young JeezyMsanii maarafu kutoka pande za state Young Jeezy amebadili jina lake na kuamua kujiita Jeezy bila kuanza na Young.
msanii huyu anasema jina la Young Jeezy linaonekana ni la kitoto ndio maana ameamua kutoa young katika jina lake na kubakiwa na Jeezy.
0 Maoni/comments: