Monday, September 16, 2013

0

ALJAZEERA YAFANYA MAHOJIANO NA LAMECK DITTO | MSANII WA KWANZA KUFANYA HIVYO

Posted in
Born on 8th January, 1987 at Rubya hospital of Mshamba village, Muleba, Kagera, Lameck Ditto, a.k.a Ditto, grew up in a middle class life setting.

Kama utaweza kukumbuka Nov 2011 Lameck Ditto alishawahi kwenda York to perform na Katherine Mc Phee and Angelique Kidjo kwa nia ya kukusanya hela ili kuweza kusaidia jamii kutokomeza malaria.

Sasa Lameck Ditto amepost picha akiwa kwenye interview na Aljazeera na kusema “amefurahi kupata nafasi ya kufanya mahojiano na Aljazeera”

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ