MSANII TOKA B'HITZ "DEDDY" KUTOKA NA NGOMA MPYA HIVI KARIBUN
Posted in B'Hitz Music Group, Deddy
Baada ya kufanya collabo na wasanii kibao wa Hip hop hapa Tzee kama vile Dole ya Mabeste, Press play ya Dj Choka, Pamoja we can na Latino Nation na nyingine kibao.
Deddy ni miongoni mwa wasanii waliopo katika label ya B-Hitz chini ya producer Hammy B, kwa sasa msanii huyo amefanya track kibao.
Style anayotumia Deddy ni ya Dance hall pamoja na Reggae, soon as possible anategemea kuachia ngoma yake ya kwanza (jina kapuni) hivyo fans kaa mkao wa kuipokea kazi za Deddy.

0 Maoni/comments: