Wednesday, August 28, 2013

0

MRITHI WA MR. EBBO| KAJOLI MASAI FT. QUEEN A - KAMA UNANIPENDA

Posted in ,
Unapomsikiliza "Kajoli Masai" Msanii anayewakilisha Arusha kwa kuimba style lafudhi ya kimaasai, Kwa haraka utamkumbuka marehem Mr Ebbo na hapa ameshirikiana na mwanadada Queen A katika ngoma "Kama Unanipenda" pata kuidownload HAPA na kwa mawasiliano check na Kajoli kupitia + 255 755 497 334 powered by www.vmgafrica.com

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ