ALLY DAXX APEWA MKATABA MNONO NCHINI SOUTH AFRICA
Posted in Ally DaxxHabari kutoka kwa Daxx anasema kwamba agency hiyohiyo ya Ice Model imeridhishwa sana na kazi yake kwa muda wa mwaka mmoja aliofanya na wamempa mkataba mpya wenye maslahi mazuri zaidi. Daxx ambaye ndiyo model pekee wa kiume anayeiwakilisha Tanzania kwenye anga za kimataifa anasema, “Nime-sign mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kufanya kazi na Ice Model management.Muda mfupi niliofanya nao kazi umenipa profile kubwa naamini miaka 3 ijayo nitakuwa pazuri zaidi”.


0 Maoni/comments: