Tuesday, July 16, 2013

0

YUKO WAPI DUDU BAYA?? | NAAM HUYU, NA HII NDO SHUGHULI ANAYOFANYA

Posted in
DSC_0510
DSC_0472
Geez Mabovu akiwa na baba yake Dully sykes
Anaitwa Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya ambaye alitamba sana na kazi zake kadhaa akiwa na kundi lake la Dar Skendo likijumuisha watu kama Dogo Hamidu “Nyandu Tozi” na wengine. Muda mrefu Dudu Baya alikuwa anafanya shughuli zake Mwanza na hivi karibuni amerudi Dar kwa ajili ya muziki na kazi zake nyingine. Ukiachana na muziki Dudu Baya ameanzisha pub yake mwenye inaitwa D n M iliyopo maeneo ya Kinondoni B. Unaambiwa D n M ni kirefu cha Dudu Baya na Mary, ambapo Mary ni mke wa wake Dudu Baya. Kwenye mahojiano exclusive na millardayo.com, Dudu amesema kwamba pub yake inakaribisha watu wote waende ku-enjoy na pia kupiga story za kimaisha,kupeana madili,kusaidiana kimawazo na sio kulewa tu. Big up kwa Dudu Baya.
DSC_0473
Akiwa na Mkewe Mary

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ