Jul
2013
04
DOWNLOAD BURE: ALBUM MPYA YA JAY-Z | MAGNA CARTA HOLY GRAIL (M-C|H-G)
Posted in Jay-Z, Magna Carta Holy Grail
Magna Carta Holy Grail is the upcoming twelfth studio album by American rapper Jay-Z.
Mzigo umeshaanguka kitaa … MCHG … Jigga is out here establishing New Rules … Album hiyo kali yenye zaidi ya ngoma 14 imeachiwa leo na kupata downloads za kutosha …
Usiku mmoja kabla, HOV na watu wake wa karibu waliandaa party ya uzinduzi/uachiaji rasmi wa album hiyo … Sehemu ya wahudhuruiaji wa party hiyo walikuwa ni familia yake, Beyonce, nephews pamoja na rappers wengine kama Raekwon, Busta Rhymes, J.Cole, Timbaland na wengineo …
Artist : Jay-Z
Album : Magna Carta... Holy Grail
Total Time : 59min.:04sec.
Year : 2013
Genre : Hip-Hop
Bitrate : 320 kbps
CBR/VBR? : CBR
Tracklist
1. "Holy Grail" (featuring Justin Timberlake)
2. "Picasso Baby"
3. "Tom Ford"
4. "FuckWithMeYouKnowIGotIt" (featuring Rick Ross)
5. "Oceans" (featuring Frank Ocean)
6. "F.U.T.W."
7. "Somewhere in America"
8. "Crown"
9. "Heaven"
10. "Versus"
11. "Part II (On the Run)" (featuring Beyoncé)
12. "Beach Is Better"
13. "BBC" (featuring Nas, Justin Timberlake, Beyonce, Swizz Beatz, Pharrell & Timbaland)
14. "Jay-Z Blue"
15. "La Familia"
16. "Nickels and Dimes"
0 Maoni/comments: