NYIMBO MPYA: AT - KITUMBUA
Posted in ATNi ngoma mpya kutoka kwa msanii A.T ambae anafanya muziki wenye miondoko ya Mduara ambapo sfari hii amekuja na kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la “KITUMBUA”….
A.T pia hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Vifuu Utundu, Bao La Kete na nyinginezo.


0 Maoni/comments: