JINSI POETRY ADDICTION YA CHEUSI DAWA ENT. ILIVYOKUWA.
Posted in Cheusi Dawa Ent., Chidi Beenz, Fid QJana kampuni ya Cheusi Dawa ilifanya kitu kinachoitwa #PoetryAddiction 2013 ikishirikisha wasanii wa Hip Hop na RnB kutoka Tanzania, kama Mad Ice, Chidi Beenz, Wakazi, One The Incredible, Damian, Fid Q mwenyewe na wengine kibao. Show hiyo ambayo Ncha Kalih alii-host na ilikuwa ikifanyika live, ilikuwa ni ya aina yake.
Check picha hapa chini zilizopigwa na kampuni ya Slide Visuals …
Rapper WAKAZI on stage …
Vanessa Mdee and a friend.
Ngosha himself a.k.a FidQ
Mzungu Kichaa na Fid Q
NchaKalih (The Host)
TK Nendeze and friends …
Millard Ayo …
One The Incredible …
Fid Q.
Mad Ice rocking the stage with a guitar ….
Damian


0 Maoni/comments: