May
2013
13
WATU WAMSHUKU BEYONCE KUWA ANA MIMBA NYINGINE
Posted in Beyonce, Blue Ivy Carter, Jay-ZMwanamama huyo mkali wa performance za jukwaani, BEYONCE anasadikika kuwa na mtoto huyo tumboni hasa na amekuwa akichagua sana mavazi ya kuvaa mbele za watu siku za karibuni ikiwa ni katika kujaribu kuficha kuonekana kwa tumbo lake ... Can you tell she is ??
Well, tuisubirie hii tuone ... Je, ni kweli BLUE IVY atakuwa dada hivi karibuni ??
0 Maoni/comments: