Friday, May 10, 2013

0

NEW MUSIC | AMANI FT. RADIO & WEASEL - KIBOKO CHANGU

Posted in , , ,


Ni ngoma mpya ya mwanamuziki kutoka Nairobi, Kenya akifahamika kama Amani ambaye hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Missing My Baby, Tonight, Natamani, Usiwe Mbali  na nyinginezo.
This Time Around, Mwanamuziki huyu ameamua ku-Climb Up kwenye game ya muziki kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "KIBOKO CHANGU".
Inside The Hit, Amani amewashirikisha wakali wawili kutoka Uganda ambao wanafanya vizuri sana katika sanaa hii ya muziki, famously known as Radio & Weasel.
Enjoy the Track.....

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ