Monday, May 6, 2013

0

MASHABIKI DUBAI WABOREKA NA MSANII JUSTIN BIEBER

Posted in
 http://www.1ticketing.com/sites/default/files/styles/large_image/public/JustinBieberDubai%202013%20-%20May_0.jpg
Wapenzi wa muziki wa Justin Bieber siku ya jumamosi huko nchini Dubai wamejikuta wakiboeka kusubiri zaidi ya saa mbili concert kuanza hadi kufikia hatua wengine kuanza kuchapa lapa.
Moja ya wazazi waliotoa ruhusa kwa watoto wao kwenda kwenye show ya bieber aliripoti , kwamba binti yake wa miaka 11 alirudi nyumbani akitokea kwenye concert baada ya kuona magumashi.
“I think it is disgusting that he can be over two hours late and he keeps on doing it. Who do these pop stars think they are?” Ms Quborsi said.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ