HIVI NDIVYO JINSI BIRTHDAY YA CHRIS BROWN ILIVYOKUWA
Posted in Chris BrownSiku ya Jumamosi mtu mzima Chris Brown aliweza kujichanganya na washkaji zake mjini Las Vegas ku celebrate birthday yake akiwa anatimiza umri wa miaka 24.
Brown alijiachia na washkaji kibao akiwemo Fabolous at 1 OAK nightclub ambapo baadae Chris was presented with a cake in the shape of his Black Pyramid clothing line logo na kupata vinywaji kama kawiz watu waka dance na mziki wa DJ Que and DJ Triple XL hadi jogoo
Baadae Brizzy aliptupia ujumbe kwenye ukurasa wake wa twitter usemao..
“Do too wasted at the party. Threw up crazy!! Lol!” tweeted a drunk Breezy
0 Maoni/comments: