SEMI FINALS EUROPA LEAGUE: CHELSEA, FENERBAHCE, BASEL & BENFICA ZATINGA!!
Posted in Benfica, Chelsea, Europa League, FC Basel, Fenerbahce, Tottenham HotspursPATA TAARIFA ZA MECHI NA SOKA_IN_BONGO:
NEWCASTLE 1 BENFICA 1
Newcastle, ambao walifungwa Bao 3-1 huko
Ureno Wiki iliyopita, wametoka sare ya Bao 1-1 na Benfica na kutupwa
nje ya EUROPA LIGI.
Mabao ya Mechi hii yalifungwa na Papiss Cisse Dakika ya 71 kwa Newcastle na Salvio aliisawazishia Benfica Dakika ya 90.
VIKOSI:
Newcastle: Krul, Simpson, Williamson, Yanga-Mbiwa, Haidara, Anita, Bigirimana, Cabaye, Gutierrez, Sissoko, Cisse
Akiba: Elliot, Ben Arfa, Perch, Gosling, Marveaux, Ameobi, Campbell.
Benfica: Artur Moraes, Almeida, Luisao, Garay, Melgarejo, Salvio, Matic, Perez, John, Lima, Gaitan
Akiba: Paulo Lopes, Cardozo, Aimar, Maxi Pereira, Rodrigo, Jardel, Gomes.
Refa: Ivan Bebek (Croatia)
LAZIO 1 FENERBAHCE 1
Fenerbahce wametinga Nusu Fainali kufuatia sare ya Bao 1-1 na Lazio na wao kusonga kwa jumla ya Bao 3-1.
Mabao kwenye Mechi hii yalifungwa na Lulic Dakika ya 60 kwa Lazio na Erkin kurudisha kwa Fenerbahce katika Dakika ya 73.
VIKOSI:
Lazio: Marchetti, Biava, Ciani, Cana, Radu, Hernanes, Ledesma, Lulic, Candreva, Ederson, Kozak
Akiba: Bizzarri, Crecco, Klose, Gonzalez, Rozzi, Cataldi, Floccari.
Fenerbahce: Demirel, Gonul, Yobo, Korkmaz, Ziegler, Meireles, Sahin, Kuyt, Baroni, Erkin, Webo
Akiba: Gunok, Ali Kaldirim, Irtegun, Topal, Krasic, Topuz, Ucan.
Refa: Pavel Kralovec (Czech Republic)
BASEL 2 TOTTENHAM 2
>>TOTTENHAM NJE PENATI 4-1
Kufuatia sare ya Bao 2-2 katika Dakika
90 na kuongezewa Dakika 30 na matokeo kubaki hivyo hivyo, Tottenham
walibwagwa nje kwa Mikwaju ya Penati 4-1
+++++++++++++++++
FC Basel 2
-Salah Dakika ya 27
-Dragovic 49
Tottenham 2
-Dempsey Dakika ya 23 & 82
+++++++++++++++++
Tottenham walikosa kufunga Penati zao zilizopigwa na Tom Huddlestone na Emanuel Adebayor na kufunga moja tu ya Sigurdsson
wakati Basel walifungwa Penati zao zote 4 za kwanza kupitia Fabian
Schar, Marco Streller, Fabian Frei na Marcelo Diaz.
VIKOSI:
Basel: Sommer, Philipp Degen, Schar, Dragovic, Park, El-Nenny, Fabian Frei, Die, Salah, Stocker, Streller
Akiba: Vailati, David Degen, Alexander Frei, Diaz, Cabral, Sauro, Steinhofer.
Tottenham: Friedel, Walker, Dawson, Vertonghen, Naughton, Dembele, Parker, Holtby, Dempsey, Sigurdsson, Adebayor
Akiba: Lloris, Huddlestone, Livermore, Assou-Ekotto, Caulker, Coulthirst, Carroll.
Refa: Olegario Benquerenca (Portugal)
RUBIN KAZAN 3 CHELSEA 2
Chelsea wametinga Nusu Fainali licha ya kufungwa Bao 3-2 huko Moscow na Rubin Kazan.
+++++++++++++++++
MAGOLI:
Rubin Kazan 3
-Marcano Dakika ya 51
-Karadeniz 62
-Natcho 75 (Penati)
Chelsea 2
-Moses 55
+++++++++++++++++
Chelsea, ambao walishinda Mechi ya kwanza kwa Bao 3-1, wamepita kwa jumla ya Mabao 5-4.
VIKOSI:
Rubin Kazan: Ryzhikov, Kuzmin, Marcano, Cesar Navas, Ansaldi, Karadeniz, Orbaiz, Natcho, Kasaev, Roman Eremenko, Rondon
Akiba: Arlauskis, Ryazantsev, Kisliak, Kaleshin, Dyadyun, Tore, Sharonov.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Terry, Luiz, Ferreira, Ramires, Ake, Moses, Lampard, Benayoun, Torres
Akiba: Turnbull, Ivanovic, Mata, Oscar, Mikel, Hazard, Marin.
Refa: Firat Aydinus (Turkey)
EUROPA LIGI:
NUSU FAINALI
Mechi ya 1=25 Aprili 2013
Mechi ya 2=2 Mei 2013
FAINALI
15 Mei 2013
UWANJA wa AMSTERDAM ARENA
0 Maoni/comments: