Wednesday, April 17, 2013

0

NEW: SIKILIZA AUDIO ILIYOKUWA IMEFANYWA NA MAREHEMU BI. KIDUDE NA FID Q

Posted in ,


Nguli wa Muziki wa Taarab Tanzania, Marehemu Fatuma Binti Baraka,maarufu sana kama Bi Kidude kabla ya kufikwa na mauti yake mapema leo, alifanikiwa kutengeza moja na rapper Fid Q ...
Wimbo huo ambao uko kwenye album ya Rap City ya Emcee kutoka Mwanza, yaani Fareed Kubanda ...
 
Fid Q alikuwa mbioni kufanya video ya wimbo huo na "Legendary" huyo ukijulikana kwa jina la "Juhudi Za Wasiojiweza" lakini kabla ya jitihada hizo kufanikiwa, mauti yakamfika msanii huyu mkongwe kwenye sanaa ya muziki ...
 
Ni kazi nzuri iliyofanywa na wakali hao wawili ... Take your time to listen to it here below :


0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ