KOCHA ROBERTO MANCINI ATUMIWA VIFAA VYA KUSAFISHIA KOMBE LA EPL
Posted in Barclays Premier League, Roberto Mancini
Shabiki mmoja wa Man United amemtumia ROBERTO MANCINI barua na vifaa vya kusafishia kombe,kasema anataka Mancini aendelee kulisafisha na kulitunza vizuri hilo kombe kwani hatutaki kulichukua likiwa chafu..TRUE STORY HII
0 Maoni/comments: