Friday, April 19, 2013

0

JAY-Z AWEKWA KATIKA UKURASA WA MBELE WA TIME MAGAZINE ... "100 Most Influential People In The World" ...

Posted in
 http://api.ning.com/files/nylQTtPtXb8E5xpoyY-1kiB3mVMeHJHDJV90fTyXJUhqu6oOad6LgcjtlwctN6ClXnBMDHxPS0p40XHQ3c90j8bTrNVr-89w/JayZTimeCover450x600.jpg


Rapper kutoka New York, Jay-Z ametajwa kama mtu mwenye influence kubwa katika maisha ya watu duniani ...
Akiongoza kati ya watu 100, Jay-Z anatajwa na kutokea ukurasa wa mbele wa TIME MAGAZINE ...
Jay-Z ametajwa kama mtoto wa mtaani ambae hakutaka kuacha ndoto zake tangu akiwa mdogo ...
Hata baada ya kukataliwa kurekodi kutokana na mazingira ya kihuni aliyokulia, Jay-Z anaendelea kufuata ndoto yake na kuweza kurekodi, kutengeneza kampuni kubwa ya muziki, nguo, viatu, na hii ya sasa ambayo anasimamia wanamichezo ...
Hii imeonekana kusaidia na kushawishi vijana wengi kufikia ndoto zao hasa baada ya yeye kuwa kama mfano na kufanikiwa kufika alipo hivi sasa ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ