DUDU BAYA AMPONDA PROFESA JAY NA KUMWITA KUA NI MNAFIKI
Posted in Dudu Baya, Proffesor Jay
Siku moja baada ya Prof Jay kutoa maoni yake kupitia 255 ya kipindi cha
XXL juu ya maswala ya Ringtones na Ringback tones,ambapo alielezea
sababu za matatizo yanayoendelea katika upande wa Ringtones moja wapo
ikiwa ni kutokuwepo na umoja katika wasanii wenyewe, baadhi ya mashabiki
pia kwa kusapoti ngoma zisizo na maudhui mazuri ndani yake na media
kupokea mizki mibovu, Dudu baya afunguka na kumuita ni mnafiki na
kumfananisha na kunguru asie namabawa
"sijakubaliana na swala yeyekuzungumza sasa hivi ni mwanaharakati katika huu muziki na nna ushahidi wa kusema yeye sio mwanaharakati la pili natofautiana na yeye kusema kwamba mziki ni big g hilo nalikataa kwasababu unavyoona vijana wa sasa hivi wanamziki kama Diamond, Ommy Dimpoz na wasanii wengine kama kina Rich mavoko, wanavyofanya wakati sisi tuhahit wanatutazama kwenye TV, na wanakuwa inspired na sisi na wanafurahia maendeleo yetu wanafurahia kushine kwetu halafu sasa hivi anasema mziki ni big g, hizo ni jelous za kichawi, na unaonyesha kwamba wewe umeshindwa, ushanielewa ndio maana nimetofautiana nae kwa kitu hicho, na hawezi kuwa mwanaharakati kwasababu nimeshawahi kukaa nae na kumwambia tufanye harakati hizi kuokoa mziki akasema harakati hizi ni ngumu, kwamba ni nzito siziwezi wakati nyimbo zake zinapigwa, lakini leo namshangaa anavyolia wakati nyimbo zake hazipigwi, watu kama kina Nikki na wasanii wengine ni kama kunguru wasio na mabawa............"
"hawa wasanii wa hiphop hata kwenye tua za basi wanakua hawaongei na wasanii wabana pua, wakiwekwa kwenye hoteli wanasema hawa wabanapua sikai nao, silali nao chumba kimoja, huo ni ushetani na ni upumbavu ambao umekithiri.....wanahiphop wa Tanzania ni wanafki, na ni wachawi wakubwa...hiphop lazima ujue maisha yako...wamekuwa ni wanafki wa kuongea kwenye radio...."

0 Maoni/comments: