Friday, April 12, 2013

0

BAADA YA SKENDO YA UBAKAJI, REEBOK WAMEFUTA MKATABA NA RICK ROSS.

Posted in ,
Reebok wamefuta mkataba wao na Rick Ross baada ya umati wa watu kufurika katika store za Reebok mjini New York wakichukizwa na mashairi ya rapper huyo kwenye nyimbo ya “U.O.E.N.O. (You Ain’t Even Know It),”.
This is a lyric which put Rozzay in trouble “Put Molly all in her champagne, she ain’t even know it / I took her home and enjoy that, she ain’t even know it.”

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ