NISHER AKABILIWA NA KAZI KUBWA
Posted in Nisher, Nisher Entertainment
Director mkali wa video kutoka Arusha, Nisher from NISHER ENT. ameona kuwa na kazi kubwa ya videos inayomkabili....
Stars hao ambao ambao wamekuwa wakihitaji kazi zao zirudiwe na nyingi zikiwa za zamani lakini zikifanya vizuri radioni mpaka leo wanaonekana kumtafuta Nisher ili kufanya kitu kizuri zaidi...
Nisher alionesha kuona kazi kubwa inayomkabili kutoka kwa stars hawa ingawa kuna mpya ambazo pia atahitaji kuzifanya...
Good to notice this bruh, Go do your thing!!... Great videos is all we need... BIG UP!!


0 Maoni/comments: