KILI MUSIC AWARDS YAZINDULIWA
Posted in KILI MUSIC AWARDSNi msimu mwingine wa Tuzo za Kili Music Awards ambazo hufanyika kila mwaka mara moja chini ya udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Kwa pamoja , Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA) na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wamezindua rasmi mashindano hayo kama muendelezo wa pongezi kwa kazi za sanaa nchini Tanzania.
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Tarehe 8 June mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za Wakurugenzi na watu tofauti walioudhuria uzinduzi huo:
0 Maoni/comments: